Skip to content
TheChatArchiveThe Chat Archive
gpt-4o-mini-2024-07-18· OpenAIAi2 WildChat-4.8M (AI2)

You are a JSON assistant. You only reply in valid JSON and never in normal text. Provide…

  1. User

    You are a JSON assistant. You only reply in valid JSON and never in normal text. Provide a difficulty rating for the video information described below. I would like to receive a single property named "result" containing a float value between 0 and 1. The following are the difficulty rating categories: 0.0 - Absolute Beginner: This level features very basic vocabulary and phrases, accompanied by clear visuals and context. It is suitable for individuals who have no prior knowledge of the target language. 0.3 - Beginner: This level includes straightforward sentences and familiar vocabulary. The video may feature some visuals and context to assist comprehension. 0.5 - Intermediate: At this level, sentences become more complex and vocabulary expands. Some idioms may be present, which would require a bit more foundational knowledge. 0.6 - Upper Intermediate: This level contains specialized vocabulary and concepts related to specific fields. To fully comprehend the content, viewers should possess a solid understanding of the target language. 0.8 - Advanced: The video incorporates sophisticated vocabulary and intricate sentence structures. It may involve nuanced discussions that demand a high level of proficiency in the language. 1 - Very Advanced: This level targets proficient speakers, featuring specialized terms and concepts that might be unfamiliar even to native speakers. Caption: Habari. Karibu tena katika channel yetu ya Language crush Swahili Kama u mgeni hapa Basi nakukaribisha sana uungane nami tujifunze kiswahili pamoja. Na Katika kipindi chetu cha leo tutaenda kujifunza baadhi ya Misemo ya Kiswahili. Na misemo ni nini ? Embu twende tutazeme maana ya misemo. Misemo ni baadhi ya maneno ambayo yanayotumika katika lugha ya kiswahili. Na jamii ya watu wanaotumia lugha ya Kiswahili. yakiwa na lengo la kusisitiza jambo fulani, Misemo ya kiswahili iko mingi sana iko mingi mno. Lakini kwa leo najaribu kuzungumzia baadhi tu ya misemo ambayo ni maarufu. Na inatumika mara kwa mara katika maongezi. sasa kuna huu msemo hapa unaitwa: PONDA MALI Mtu anapokwambia ponda mali anamaanisha, unatumia mali vibaya. Unatumia mali nje ya utaratibu, Kwa hivyo unavyokutana na mtu akakwambia mhh Yule kaka anaponda mali. Anamaanisha yule kaka ana matumizi mabaya na mali. Kuna huu msemo hapa ambao unatumika katika lugha ya Kiswahili: MKONO WA BIRIKA. Maana yake ni mtu ambaye ni mchoyo, ama mtu ambaye hataki kugawa kitu chake au kumpa mtu mwingine kitu alichonacho. Huyu mtu tunamuita ana mkono wa birika. Msemo mwingine ambao ni maarufu katika lugha ya Kiswahili na unatumika sehemu tofauti tofauti katika maongezi ni; KULA CHUMVI NYINGI. Huu msemo maana yake ni kuzeeka, Kwa mfano unapokutana na mtu ambaye ni mzima ambaye ana umri mkubwa Tunamwambia huyu mtu amekula chumvi nyingi. Sasa embu tuone tena msemo mwingine ambao unatumika mara kwa mara kwenye lugha ya kiswahili katika maongezi ambao huu unatumika sana sana katika vilabu kwa mfano ukaingia kilabuni ama sehemu ya watu ambao wanakunywa pombe ukikutana na mtu ambaye amelewa badala ya kumwambia kwamba huyu mtu amelewa sana unaweza ukasema; HUYU MTU AMEVAA MIWANI nikimaanisha kwamba mtu huyu amelewa. kwa hivyo kuvaa miwani maana yake ni kulewa mtu aliyelewa sana. HAAMBILIKI. Huu ni msemo unaotumika kwa mtu asiye sikia. mtu asiye shaurika, tunamwambia huyu mtu haambiliki. Msemo mwingine tena ambao ni maarufu sana katika maongezi kwenye lugha ya kiswahili ni huu hapa; KULA NJAMA. kwa mfano unavyo kutana na mtu mkafanya jambo lenu kwa siri bila Bila mtu mwingine kujua hapo mnsema mmekula njama. Kufanya jambo kwa siri ni kula njama. HUJAFA HUJAUMBIKA. Huu msemo unatumika zaidi kuwahimiza au kuwasisitiza watu wenye majigambo, Ama wenye sifa kwamba sifa sio kitu kizuri kwa hiyo wanakwambia. HUJAFA HUJAUMBIKA. Umenipaka mafuta wa mgongo wa chupa. Hivi umeshakutana na sentensi kama hiyo katika maongezi kwa mfano unaongea na mtu alafu akakwambia ; UMENIPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA. Hii Inamaanisha kwamba umempa mtu siifa ambazo ni za uongo. Hivyo basi umempaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kuna huu msemo mwingine hapa wanasema ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA Huu msemo unatumika zaidi mashuleni kwa wanafunzi ukiwahimiza wanafunzi kusoma kwa bidii hivyo wanasema kwamba; ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA. Wakimaanisha kwamba elimu ni Msingi wa maisha, kwamba ili uweze kufanikiwa kimaisha unatakiwa usome. MASKINI HANA HOJA. Hii Inamaanisha kwamba ukiwa Maskini huna hoja, ukiwa maskini huna wazo ,huwezi kushiriki katika mawazo yoyote . watu hawathamini mawazo yako kwa sababu wewe ni maskini. hivyo ukiwa maskini na ukitaka kutoa wazo mbele za watu wakakwambia maskini hana hoja. kwamba ushauri wako hauna maana AMETUTUPAA MKONO. Huu ni msemo unaotumika zaidi katika mazingira ya msiba . Sehemu ambazo kuna msiba mtu anakwambia ndugu yangu ametutupa mkono, Ama kaka yangu ametutupa mkono, Akimaanisha kwamba ametuacha huyu jamaa amefariki. kwa hivyo maana ya kututupa mkono ni kufariki. MTU KWAO. Huu ni msemo unaotumika sana na ni maarufu wakimaanisha kwamba nyumbani ni sehemu salama na nyumbani ni sehemu ya kujidai kwa hivyo wanasema; mtu kwao. wanasema; MAJI NI UHAI Huu ni msemo unaotumika kusisitiza watu kwenye jamii kuhusu unywaji wa maji. wakimaanisha kwamba maji ni sehemu ya maisha ya binadamu. Hivyo wanasema; MAJI NI UHAI. Mhhhhhhhh AMEONGEZA CHUMVI. Umeshawahi kukutana na sentensi kama hiyo mnaongea na mtu katika maongezi yenu alafu mtu akakwambia huyu jamaa ameongeza chumvi. Hii inamaanisha kwamba huyu jamaa ameongeza maneno au ameongelea kitu kwa ukubwa usio sahihi. kwa mfano; "nilieenda mjini jana nikakutana na watu kama sisimizi" Hiyo ni kuongeza chumvi watu hawana uwezo wa kulingana na sisiminzi . hivyo ni meongeza chumvi Kwa leo tuishie hapa na Ningependa kukumbusha kwamba katika kipindi chetu cha leo, tulikuwa tunajifunza misemo ya kiswahili na maana zake Misemo ipo mingi sana na leo tumejaribu kujusia baadhi ya misemo ambayo hua inayotumika mara kwa mara. Aah Katika lugha ya kiswahili ,na hivyo basi tuonane kipindi kijacho tujinze Kiswahili pamoja. Na nikusihi kwamba usikose kusikiliza na kututazama katika kipindi kijacho katika channel yetu hii ya language crush swahili ili tujifunze Kiswahili pamoja Na kama unamaoni yoyote ama kipindi ambacho unataka tuzungumzie kipindi kijacho niandikie hapo chini kwenye ukurasa wa maoni. Kwa heri , tuonane kipindi kijacho Title: Swahili Idioms and their Meanings Description: Thank You for Watching! We appreciate you taking the time to watch this video. We understand that there is a scarcity of quality comprehensible input (CI) resources for Swahili, especially compared to larger languages. This channel is our effort to fill that gap. Notice that the subtitles, which can be activated by clicking the subtitle button, are accurate and not just auto-generated. Our primary goal is to provide you with valuable CI in Swahili. While grammar, vocabulary, and cultural insights are included as a bonus, we focus more on making the language accessible and enjoyable through engaging content.

    We know that many language learners are curious about these topics, so we hope our videos serve as both an educational tool and an interesting way to immerse yourself in Swahili. If you have any topics you'd like to see covered, suggestions, or questions, feel free to leave them in the comments below. We're active on the Reddit Swahili forum, so you can connect with us there as well. Reddit: https://www.reddit.com/r/swahili/

    Support the Channel: The best way to support us is by spreading the word! Share our videos with friends, like, and subscribe to stay updated.

    Free Resources: You can download the transcript and audio, use our reading tool with subtitles and a pop-up dictionary, all for free as you watch the video at Language Crush. Language Crush: https://languagecrush.com/reading/course/1853

  2. Assistant
    {
      "result": 0.3
    }