Using English write minutes from the following swahili minutes, remember to make it very…
- User
Using English write minutes from the following swahili minutes, remember to make it very clear and professional
MUHTASARI WA KIKAO BAADA YA UHAKIKI WA MATOKEO YA MITIHANI YA MAJARIBIO KILICHOFANYIKA TAREHE 17/08/2024 Waliohudhuria
- Shaibu Mbogo Mwenyekiti
- Patrick R.Peter Katibu
- Polycarp Ludege Mjumbe
- Dorfina Ernest Mjumbe
- Gilbert John Bahati Mjumbe
- Abdulkarim Bhalo Mjumbe
- Adam Rashid Mpapa Mjumbe
- Habibu Lukumay Mjumbe
- Prosper Mselle Mjumbe
Ajenda
- Kufungua kikao
- Mrejesho wa zoezi la Uhakiki
- Uithinishaji wa walio na sifa ya kukaa katika mtihani wa muhula wa pili
- Mengineyo
- Kufunga Kikao
1: Kufungua Kikao Kikao kilifunguliwa saa 12:40 asubuhi na mwenyekiti
2: Mrejesho wa zoezi la Uhakiki Kulingana na zoezi zima la uhakiki wa matokeo, msimamizi kiongozi na wasimamizi wasaidizi walitoa mrejesho uliogawanyika katika makundi makuu mawili; i. Mrejesho wa Maandalizi kwa ujumla Kulingana na ukaguzi na uhakiki wasimamizi walitoa mrejesho kama ifuatavyo a. Mazingira ya kufanyika mtihani yalikua yameandaliwa vizuri kwa ajili ya mtihani wa mwisho wa muhula wa pili, mazingira hayo yanajumuisha Madaras ana Maabara. b. Chumba cha kuifadhia mitihani kiko vizuri na kina sifa zote za kuifadhi mitihani. c. Wasimamizi wa ndani wako vizuri na tayari kwa zoezi zima la mitihani d. Maandalizi ya nyaraka za mitihani ikiwemo mitihani ya majaribio, assignment na logbooks na nakala za malipo kwa ajili ya mitihani ya muhula wa pili zilikua tayari kwa ajili ya uhakiki ii. Mrejesho katika matokeo ya wanafunzi a. Vipengele vyote vya ukaguzi vilikua sawa kwa asilimia kubwa (Utungaji na Usahihishaji). b. Uingizaji wa alama katika results sheet ulikua na changamoto kwa wanafunzi wawili. Mmoja katika somo la Monitoring and Evaluation (PST06211) na mmoja katika somo la Entrepreneurship (PST06209) c. Kutokukamika kwa ujazaji kwa baadhi ya nyaraka kama attendance za mitihani ambazo zinatakiwa kujazwa Saini na tarehe. d. Kuhakikisha logbooks zote zina mihuri. e. Marking Guide ziwe na title kwenye header zinazoonyesha ni Marking Guide. Mwenyekiti pamoja na wajumbe walihakiki alama zilizopo kwenye karatasi za wanafunzi zilizosahihishwa, na kuhakiki mitihani imesahihishwa vizuri na alama walizopewa wanafunzi ndizo walizo stahili kupata. 3. Uithinishaji wa walio na sifa ya kukaa katika mtihani wa muhula wa pili Mwenyekiti na wajumbe walikubaliana kwa Pamoja kupitisha wanafunzi walio na sifa kwa ajili ya zoezi linalofuata la Mitihani ya mwisho wa muhula wa Pili kama ifuatavyo;
- Assistant